Prajasakti | |
---|---|
Jina la gazeti | Prajasakti |
Aina ya gazeti | *. Gazeti la kila siku |
Lilianzishwa | 1942 |
Eneo la kuchapishwa | Maeneo ya Uhindi Hyderabad, Vijayawada, Visakhapatnam, Tirupati (mji) Khammam, Kurnool, Rajahmundry, Srikakulam ,Karimnaga |
Nchi | Uhindi |
Mhariri | *. S. Vinay Kumar (mhariri) *. V. Krishnaiah (meneja mkuu) |
Makao Makuu ya kampuni | Hyderabad |
Tovuti | Tovuti rasmi ya Prajasakti |
Prajasakti ni gazeti la lugha ya Kitelugu linalochapishwa kutoka Andhra Pradesh, Uhindi. Lilianza kama gazeti la kila siku katika mwaka wa 1981 , Vijayawada ikiwa makao lake. Hivi sasa, linachapishwa katika vituo 9 ( au matoleo) haswa Hyderabad, Vijayawada, Visakhapatnam, Tirupati (mji), Khammam, Kurnool, Rajahmundry, Srikakulam na Karimnaga. Liko na mtandao mpana wa kupata habari wa zaidi ya vituo 100 vya kukusanya habari katika jiimbo. Prajasakti limekua haraka sana na ,hivi sasa, ndilo gazeti la kila siku la Telugu linalosambazwa kabisa kuliko magazeti mengine ya Telugu. Katika mwaka wa 20 wa gazeti la Prajasakti,lilianzisha tovuti yao kwenye mtandao wa tarakilishi na kulifanya gazeti hili kuweza kufikia watu wote duniani.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search